Je, Unafahamu Madhara Ya Kutokushiriki Tendo La Ndoa Kwa Muda Mrefu??

Habari zenu, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya:


Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo, kupendelea sana kuangalia picha za uchi, Kusahausahau, Kupendelea story za mapenzi, Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke), Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu), Kuumwa na kichwa, Kukakamaa mgongo (wanaume),Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba, Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency), Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno, Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala

Comments

Popular posts from this blog

SIMULIZI: Utamu Wa Shemeji Sehemu Ya Kwanza (1)

MAHABA YA MWALIMU; Hadithi fupi ya kusisimua mwili wako

Utamu wa Shanga Sehemu ya Kwanza 1