Posts

Showing posts from May, 2020

MFIKISHE KISHINDO MWANAMKE WAKO

Image
Kama upo kwenye uhusiano wa mapenzi na mwanamke ambaye ana matatizo ya kutofika kileleni au hajawahi kufika mshindo na kuishia kusikia kwa mashoga zake kuwa mapenzi matamu, bila shaka akikueleza hili kabla ya majambozi mtaishia wote kuchanganyikiwa kisaikolojia na hatimaye gemu lenu likawahalina majambozi yaani mtacheza chini ya kiwangoi kuytokana na hofu kutawala. Kimsingi mahusiano mengi yamevunjika kama siyo kutawaliwa na usaliti kutokana na tatizo hili hivyo kama wewe ni mwanaume, mwanamke au ni wapenzi ambao mmedhamiliya kujifunza jinsi ya kumfikisha kileleni mwanamke na kumfanya ajisikie furaha ya ajabu ambayo wanawake wachache tu duniani huipata kwa vidume vinavyojua kujishughulisha kunako sita kwa sita yaani namaanisha wanaume wasio wabinafsi kunako majambozi, tafadhali soma makala hii kwa umakini kisha nenda kayafanyiye kazi haya nitaninayokueleza:- HATUA YA KWANZA: USIMPRESHE WALA KUJIPRESHA! Kadri mwanamke anavyojitahidi kuvuta hisia na kujishughulisha kwa namna moja ama...

NJIA 31 AMBAZO ZITAMFANYA MPENZI WAKO AKUPENDE ZAIDI

Image
Njia 31 ambazo zitamfanya msichana akupende zaidi na kufurahi 1. Mwambie yeye ni mzuri na sio uko sexy au hot  2. Mshike mkono wake kwa kuwa unampenda na sio unazingua  3. Mtumie sms nzuri ya kumwamsha asubuhi  4. Cheza nae michezo mingi na mfanye ashinde yeye  5. Mkumbatie mara kwa mara mgongoni kwa kumshtukiza  6. Usijirushe na x wako wakati yeye hayupo hayo sio mapenzi  7. Kama unaongea na binti mwingine mkiwa pamoja ukimaliza maongezi rudi na kumkisi mpenzi  8. Mtumie sms au kumpigia simu na kumwambia unampenda  9. Mtambulishe kwa marafiki na kuwaambia kuwa ni mpenzi wako  10. Penda kuzichezea nywele zake na kuzisifia  11. Jaribu kutoka nae hata kama atakataa  12. Onyesha kuumia ukigundua watu wanammezea mate  13. Mchekeshe kila mara kumfanya atabasamu  14. Mfanye alale mikononi/mapajani mwako akijisikia kulala  15. Kama amekuudhi wewe mkiss na kutomjibu vibaya  16. Onyesha hisia zako kwake  17. Kila...
Image
MAMBO MANNE YA KUFANYA BAADA YA KUMALIZA KUFANYA TENDO LA NDOA Labda kwa wale wasiofahamu niwaambie tu kwamba dhana ya mapenzi ni dhana yenye wigo mpana sana na ndiyo maana hutasikia hata siku moja tumepumzika kuizungumzia. Hata hivyo, tunachofanya siku zote ni kukumbushana kwa yale tunayoyafahamu na kushauriana kwa pale tunapohisi wengi hufanya makosa. Baada ya kusema hayo sasa nigeukie mada yangu ya leo ambayo kwa kiasi kikubwa inawahusu wale walio kwenye ndoa na kikubwa nazungumzia yale ambayo wawili waliotokea kupendana kwa dhati wanatakiwa kuyafanya mara baada ya kumaliza kufanya tendo la ndoa. Nalazimika kuandika makala haya baada ya kubaini kuwa wengi wamekuwa wakifanya makosa na kujikuta wakishamaliza kufanya tendo hilo takatifu, kila mmoja anageukie kwake kisha kuuchapa usingizi.Sisemi kwamba ni lazima kuyafanya haya nitakayoyaeleza leo ila yakifanywa huwa na manufaa yake na mara nyingi yanaboresha uhusiano. Kuoga pamoja Mtakuwa ni watu wa ajabu kama mtamaliza kufanya tendo ...
Image
UTAGUNDUAJE KAMA UNA MIMBA CHANGA Mara nyingi ni vigumu mwanamke kugundua kama ameshika mimba siku za mwanzoni hadi pale anapokosa kuona siku zake za hedhi. pamoja na ugumu huo kuna dalili ambazo zinaweza kufanya uhisi kama una mimba katika siku za mwanzoni ambazo ni kuanzia  siku ya 18 toka mimba itungwe. Dalili hizi zinatofautiana kwa kila mtu, wapo ambao wanaweza kuzipata zote na ambao hupata baadhi tu ya dalili hizi na pia wapo ambao hawazipati kabisa. Miongoni mwa dalili hizo ni pamoja na: 1.JOTO LA MWILI KUPANDA.(basal body temperature stay high)    Wanawake wengi hushindwa kutambua dalili hii pale wanapoipata kutokana na kutokuwa na uelewa      juu ya miili yao.     Hali hii inaonekana katika siku za mwanzo ambambo huweza kudumu kwa muda mrefu kiasi hivyo     kama itadumu zaidi ya siku 18 basi ni vizuri kupima ili kujua kama inatokana na ujauzito au la. 2. KUPATA HAJA NDOGO MARA KWA MARA.(frequent uri...